What we're about

Kikundi hichi kimepangwa na maarifa ya kuwaalika watu wote waliotoka bara la Afrika ikiwa Mashariki, mgharibi, kusini, kaskazini au kati kati tuungane. Kikundi hichi kitazungumza Kiswahili kila sehemu invyowezekana. Wanachama tutafanya jitihada yo kukutana na vile vile kuzungumza lugha yetu ya Kiswahili. The group is open for people who speak Kiswahili....we will be talking in Kiswahili only so you can listen and participate

Vile vile, Sauti za Africa ambayo ni stesheni yetu rasmi inatangaza kila Jumamosi na Jumapili. Fuata tovuti yetu kupata maelezo zaidi

Karibuni tuwasiliane sautizaafrica.com au lughayetu.com

Tunafurahi sana kuwakaribisha nyote.

Asante

Upcoming events (5)

Idhaa ya Kiswahili Radio

Kitchener-Waterloo

• What we'll do
TANGAZO TANGAZO

Idhaa ya Kiswahili. Radio Waterloo. Tunatangaza kila Ijumaa saa nane mpake saa tisa mchana
kila Jumamosi na Jumapili. Tafadhali kumbuka siku hizi...usisahau!!

SAUTI ZA AFRICA Saturday 2-3pm Jumamosi saa nane mpaka saa tisa mchana
SAUTI ZA AFRICA Sunday 2-3pm Jumapili saa nane mpaka saa tisa mchana

Muziki kali kutoka Africa Mashariki, magharibi, Kusini na Kaskazini

soundfm.ca/listen Can be accessed worldwide
Ukiwepo hapo Waterloo, unaweza kutusikiliza 102.7 fm

Karibuni wote KARIBUNI

Asante

• What to bring - Your time...listen and tell your friends. Send us your song requests

• Important to know

Idhaa ya Kiswahili Radio

Kitchener-Waterloo

• What we'll do
Play African Music on radio hosted by Yasin Dewji

SAUTI ZA AFRICA

Tafadhali tutumie ombi yako ya nyimbo au muziki ambayo unapenda kuwasalimisha wapenzi au marafiki yako.....Lets chat!!!

Asante

• What to bring Tupe muda yako tu....Burudike na Muziki kali!!

Past events (334)

Idhaa ya Kiswahili Radio

Kitchener-Waterloo

Photos (5)